Neither…nor Structure 3 Explained | Advanced English Grammar
Автор: Jifunze kiingereza na Teacher Othman
Загружено: 2026-02-04
Просмотров: 60
Описание:
Katika somo hili tutajifunza matumizi ya NEITHER…NOR (Structure 3), ambayo hutumika pale tunapotaka kukataa sentensi mbili kamili (clauses) katika lugha ya Kiingereza.
🔹 Structure hii hutumia subject + verb kila upande
🔹 Inatumika zaidi kwenye uandishi (writing) na lugha rasmi
🔹 Husaidia kuandika na kuzungumza Kiingereza kwa usahihi wa hali ya juu
📌 Muundo wa jumla:
👉 Neither + clause + nor + clause
📌 Mifano:
👉 Neither he understood the lesson nor he asked questions.
👉 Neither they completed the task nor they reported the problem.
Somo hili linafaa kwa Intermediate hadi Advanced learners wanaotaka kuimarisha English grammar na sentence construction.
#NeitherNor
#NeitherNorStructure3
#EnglishGrammar
#AdvancedEnglish
#LearnEnglish
#EnglishSentenceStructure
#GrammarLesson
#EnglishWriting
#SpokenEnglish
#KiingerezaRahisi
#DailyEnglish
#EnglishWithTeacher
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: