ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MWENYE CHOCHOTE | MWENYE KUGUSWA, MTOTO ANAHITAJI MSAADA (NORAISHI) | NA MUNGU AKUFANYIE WEPESI

Автор: MUUNGWANA ONE TV

Загружено: 2026-03-03

Просмотров: 224

Описание: MTOTO NORAISHI ANAHITAJI MSAADA.
Katika Kata ya Temeke Kijiji Cha Nangose One Wilaya ya Masasi, Kuna Mtoto ajulikanaye kwa jina NORAISHI (5).

NORAISHI ni mtoto ambaye anaumwa, na umwa yake yapata takriban miaka minne tangu amezaliwa.

Kwa mujibu wa Taarifa za Mzazi wake mmoja wa kiume anadai mototo wakati anazaliwa alichelewa kulia, kwahyo ni mtoto ambaye ana mtindio wa ubongo kitalaamu.

Lakini ishu kubwa, japo na changamoto hiyo, Mama yake Mzazi ameaga Dunia (amefariki) juzi na ndiye alikuwa anamkumbatia mtoto wake, kwasababu baba wa mtoto hakai na mtoto ana mwanamke mwingine pembeni kwa huduma haziwezi kukamilika kwa alisimia 100% kwa Mtoto.

Hivyo baada tu ya kifo Cha Mama wa mtoto juzi, ambaye amefariki kwa tatizo la kansa, Mtoto atakuwa chini ya bibi yake mtoto mzaa mama.

Tukiwa tunaendelea na Habari familia waliona haja ya kuita chombo " Muungwana One tv" kwa ajili ya kuweka wazi (Public ), suala la mtoto kuomba Msaada wa kuwasaidia chochote kitu ulichonacho kimfikie mtoto kama Msaada kwake.

Na tunaendelea kuomba Kama chombo kama familia kwa watanzania wote nchini tuendelee kumsadia kijana wetu kwani msaada unatakiwa Sanaa.

0715651908 |Taarifa zaidi na mawasiliano familia ya mtoto wameweka kwa hii Video, na Sisi tutaendelea kuwa bega kwa bega na mtanzania au watanzania wote utaoguswa na hali hii ya mtoto.

Update
Muungwana One tv

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MWENYE CHOCHOTE | MWENYE KUGUSWA, MTOTO ANAHITAJI MSAADA (NORAISHI) | NA MUNGU AKUFANYIE WEPESI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

So'nggi bor yoxud Kechir 2 49-qism (milliy serial) | Сўнгги бор ёхуд Кечир 2 49-қисм (миллий сериал)

So'nggi bor yoxud Kechir 2 49-qism (milliy serial) | Сўнгги бор ёхуд Кечир 2 49-қисм (миллий сериал)

SZLI PO TRUPACH: 10 Legend PRL, które niszczyły rywali donosami do władz

SZLI PO TRUPACH: 10 Legend PRL, które niszczyły rywali donosami do władz

Как быстро ИЗБАВИТЬСЯ ОТ ОТЕКОВ и улучшить кровоток в организме!

Как быстро ИЗБАВИТЬСЯ ОТ ОТЕКОВ и улучшить кровоток в организме!

Kimchi, które robi się w 10 minut! Wiosenny koreański hit - super szybki przepis

Kimchi, które robi się w 10 minut! Wiosenny koreański hit - super szybki przepis

Amerykańscy wojskowi wystąpili przeciwko Trumpowi / Ataki na policjantów

Amerykańscy wojskowi wystąpili przeciwko Trumpowi / Ataki na policjantów

Iran właśnie obudził śpiącego giganta po ataku na brytyjską bazę

Iran właśnie obudził śpiącego giganta po ataku na brytyjską bazę

Rakiety nad Dubajem i panika na stacjach. Wojna już uderza w portfele

Rakiety nad Dubajem i panika na stacjach. Wojna już uderza w portfele

Ешьте утром — и ваши ноги снова будут сильными | ПАМЯТЬ И МОЗГ

Ешьте утром — и ваши ноги снова будут сильными | ПАМЯТЬ И МОЗГ

🔴#LIVE SHILOLE ANAFUNGUKA KUHUSU BABY WAKE MPYA NA NDOA YA GIGY MONEY, LIZER WA WCB NAE NDANI

🔴#LIVE SHILOLE ANAFUNGUKA KUHUSU BABY WAKE MPYA NA NDOA YA GIGY MONEY, LIZER WA WCB NAE NDANI

DRAMA IN THIKA MUTHONI WAKIRUMBA BABY TOP JOINS KAMOKO IN SINGING MWOMBOKO

DRAMA IN THIKA MUTHONI WAKIRUMBA BABY TOP JOINS KAMOKO IN SINGING MWOMBOKO

Украина 6 марта! ЖУТЬ! ТАКОГО ЕЩЕ НЕ БЫЛО! Что сегодня происходит в Киеве!?

Украина 6 марта! ЖУТЬ! ТАКОГО ЕЩЕ НЕ БЫЛО! Что сегодня происходит в Киеве!?

🔴 #LIVE: | Funga si kuacha kula tu -  Wadhakkir Special

🔴 #LIVE: | Funga si kuacha kula tu - Wadhakkir Special

ШУМ В УШАХ ИСЧЕЗНЕТ! НАЖМИТЕ НА ЭТУ ТОЧКУ И ЗАБУДЬТЕ О ЗВОНЕ НАВСЕГДА | УПРАЖНЕНИЯ ВРАЧА

ШУМ В УШАХ ИСЧЕЗНЕТ! НАЖМИТЕ НА ЭТУ ТОЧКУ И ЗАБУДЬТЕ О ЗВОНЕ НАВСЕГДА | УПРАЖНЕНИЯ ВРАЧА

ONA MKUTANO MZITO WA WALIMU WAKUU WILAYA YA MASASI, ULIVYOIBUA CHANGAMOTO NA FURSA.

ONA MKUTANO MZITO WA WALIMU WAKUU WILAYA YA MASASI, ULIVYOIBUA CHANGAMOTO NA FURSA.

Ładowarka kopalniana ŁK-1 od 18 lat stała nieużywana na kopalni ! Czy daliśmy radę ją uruchomić ???

Ładowarka kopalniana ŁK-1 od 18 lat stała nieużywana na kopalni ! Czy daliśmy radę ją uruchomić ???

Союзник Путина убит / Приказ на ответный удар

Союзник Путина убит / Приказ на ответный удар

ZEŁENSKI GROZI ŚMIERCIĄ ORBANOWI? OSTRE SPIĘCIE NA LINII UKRAINA - WĘGRY

ZEŁENSKI GROZI ŚMIERCIĄ ORBANOWI? OSTRE SPIĘCIE NA LINII UKRAINA - WĘGRY

ЭКОЛОГ попал в ЛОВУШКУ к Великанше: он обомлел услышав её ПРИКАЗ на первую ночь

ЭКОЛОГ попал в ЛОВУШКУ к Великанше: он обомлел услышав её ПРИКАЗ на первую ночь

Europa wysyła WOJSKO na BLISKI WSCHÓD / Powstanie nowy kraj w Iranie? | Biznes Teraz

Europa wysyła WOJSKO na BLISKI WSCHÓD / Powstanie nowy kraj w Iranie? | Biznes Teraz

SHULE ALIYOTOKA MW/KITI WA HALMASHAURI (W) MASASI,  WANAFUNZI WADHIHIRISHA KUWA NGANGARI | MDAHALO.

SHULE ALIYOTOKA MW/KITI WA HALMASHAURI (W) MASASI, WANAFUNZI WADHIHIRISHA KUWA NGANGARI | MDAHALO.

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]