WANAWAKE WAJASIRIAMALI RUVUMA WAADHIMISHA MIAKA 20 YA TWCC
Автор: RUVUMA RS
Загружено: 2026-02-28
Просмотров: 33
Описание:
Wanawake wajasiriamali mkoani Ruvuma wameadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (Tanzania Women Chamber of Commerce – TWCC) katika ukumbi wa Songea Club, mjini Songea.
Akifungua kongamano hilo kwa niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma, Deogratius Sibula amesema kuwa uwepo wa TWCC mkoani humo umekuwa na manufaa makubwa kwa wanawake, kwani imekuwa ikitoa elimu ya ujasiriamali na kuwaunganisha na masoko ya ndani na nje ya nchi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: