MAKAMU WA RAIS ALIVYOWASILI RUVUMA
Автор: RUVUMA RS
Загружено: 2026-03-13
Просмотров: 29
Описание:
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasili leo Machi 13 mkoani Ruvuma kwa ajili ya kushiriki katika tukio la kufuturisha wananchi.
Tukio hilo la kufuturisha litafanyika kesho, Jumamosi Machi 14, mjini Songea, ambapo wananchi wanatarajiwa kushiriki kwa wingi. Hafla hiyo ni sehemu ya kuendeleza mshikamano wa kidini na kijamii.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: