JAMII YATAKIWA KUPINGA VISABABISHI VYA UMASKINI
Автор: RUVUMA RS
Загружено: 2026-03-08
Просмотров: 18
Описание:
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amesema kuwa katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ni muhimu jamii ikakumbushwa kuimarisha juhudi za kupinga visababishi vya umaskini vinavyotokana na wanawake kunyimwa haki, hususan katika umiliki wa rasilimali ardhi.
Akizungumza katika kilele cha maadhimisho hayo yaliyofanyika Halmashauri ya Wilaya ya Songea, amesema kumwezesha mwanamke ni kuiwezesha jamii nzima, hivyo wanawake wanapaswa kupewa nafasi katika huduma za kifedha, elimu na uongozi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: