GET USED TO – Jinsi ya kusema “NINAZOEA” kwa Kiingereza | English Grammar
Автор: Jifunze kiingereza na Teacher Othman
Загружено: 2025-12-22
Просмотров: 178
Описание:
Katika somo hili utajifunza matumizi sahihi ya GET USED TO katika lugha ya Kiingereza.
Somo hili linakusaidia kuelewa jinsi ya kusema “ninazoea”, “nimezoea”, au “nilikuwa nazoea” kwa kutumia grammar sahihi.
📌 Utajifunza:
Maana ya get used to
Muundo wa sentensi (get used to + noun / verb + ing)
Mifano rahisi ya sentensi
Makosa ya kawaida yanayofanywa na wanafunzi
Somo hili ni muhimu kwa wanaoanza na wale wa kiwango cha kati (beginner & intermediate).
Usisahau Like 👍, Subscribe 🔔 na Share ili wengine wanufaike.
#GetUsedTo
#NinazoeaKwaKiingereza
#EnglishGrammar
#LearnEnglish
#EnglishForBeginners
#SpokenEnglish
#EnglishLessons
#KujifunzaKiingereza
#TeacherOthman
#BasicEnglish
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: