ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

"Shoroba Mwalobaini wa Kilimo" - RC Senyamule

Автор: OPK TV

Загружено: 2026-02-13

Просмотров: 23

Описание: Serikali kupitia Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi imejipanga kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa Mpango Kabambe wa Mageuzi ya Shoroba za Kilimo, Mifugo na Uvuvi (AMP 2050), mpango unaolenga kuharakisha safari ya Tanzania kuelekea uchumi wa kati wa juu. Mpango huo unakusudia kuleta mabadiliko ya kimfumo katika uzalishaji na kuongeza mchango wa sekta hizo katika pato la taifa.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa uhamasishaji wa ukuzaji na uendelezaji wa shoroba za kilimo uliofanyika Februari 12, 2026 mkoani Singida, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamwile, amesema mkutano huo una lengo la kujenga uelewa wa pamoja kwa wataalamu wa mikoa na halmashauri kuhusu dhana na utekelezaji wa shoroba za kilimo kama nyenzo ya mageuzi ya kiuchumi.

Mhe. Senyamwile amesisitiza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeipa kipaumbele sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi kama injini ya ukuaji wa uchumi, ajira na ustawi wa wananchi. Ameeleza kuwa mageuzi hayo yatapunguza gharama za uzalishaji na usafirishaji, kuongeza thamani ya mazao, kuinua kipato cha wakulima, wafugaji na wavuvi, pamoja na kuvutia uwekezaji wa sekta binafsi huku yakizingatia mabadiliko ya tabianchi.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Ofisi ya Mageuzi ya Kilimo (ATO), Bi. Elizabeth Missokia, amesema shoroba za kilimo ni sehemu muhimu ya mpango huo, zikilenga kuunganisha uzalishaji, usindikaji, uchakataji, usafirishaji, uhifadhi na masoko katika mtandao mmoja unaoratibiwa. Amesema hatua hiyo itaharakisha mageuzi ya sekta hizo na kuongeza ushindani wa bidhaa za Tanzania katika masoko ya ndani na nje ya nchi.

👇 Usiache ku-like, ku-share, na kusubscribe ili kufuatilia makala nyingine za maendeleo na uwekezaji Tanzania!

#KaribuSingida #FursaSingida #WekezaSingida #MkoaWaSingida #UwekezajiTanzania #TanzaniaInakuwezesha #JengaKesho #WekezaTanzania #ViwandaNaKilimo #SingidaYajengwa #SingidaInavyoletaMaendeleo #SingidaLandOfOpportunities #MadeInSingida #AfyaElimuNaUwekezaji #SingidaGreenEnergy #SingidaTourism
#SisiNiSingida #InvestInSingida #SingidaForInvestors #SingidaNdiyoMahali #BiasharaNaMaendeleo #UchumiImara #SingidaOnTheMove #KaribuKuwekeza #KaribuTanzania #WezeshaMaendeleo #SingidaSmartRegion

‪@TBC_Online‬ ‪@BBC‬ ‪@BBCNewsSwahili‬ ‪@bbcradio1‬ ‪@VaticanNews‬ ‪@simbasctanzania255‬ ‪@YoungAfricansSCTV‬ ‪@MsemajiMkuuwaSerikali‬ ‪@RTWAFF‬ ‪@singidaonlinetv‬ ‪@kindaiplus‬ ‪@singidars‬ ‪@Singidaplus‬ ‪@ikulutanzania255‬ ‪@kevingatesTV‬ ‪@Telemundo‬ ‪@gags‬ ‪@YoungAfricansSCTV‬ ‪@AdobeVideo‬ ‪@Adobe‬ ‪@AdobeCreativeCloud‬ ‪@AdobeExpress‬ ‪@Photoshop‬ ‪@Adobeinaminute‬ ‪@adobecreativestation‬ ‪@Substance3D‬ ‪@onesmokisusa‬ ‪@opkstudioz‬ ‪@opkmediaz‬ ‪@opkradio‬ ‪@opkstudioz‬ ‪@opktvs‬ ‪@taha.assaad‬ ‪@CAF_TV‬ ‪@NBA‬ ‪@NBC‬ ‪@crdbbankplc7198‬ ‪@CrownMediaTZ‬ ‪@millardayoTZA‬ ‪@DJI‬ ‪@tecnoart101‬ ‪@Apple‬ ‪@AppleIndia‬ ‪@AppleBrasil‬ ‪@AppleMexico‬ ‪@Samsung‬ ‪@SamsungIndia‬ ‪@StudioBinder‬ ‪@SonySAB‬ ‪@sonymusicindiaVEVO‬ ‪@SonyMusicIndia‬ ‪@SonyMusicSouthOfficial‬ ‪@SonyPAL‬ ‪@Oscars‬ ‪@dramaboxapp‬ ‪@fifa‬ ‪@azamtvtz‬ ‪@azamtvtz‬ ‪@EastAfricaTV‬ ‪@EastAfricaRadio‬ ‪@africanews‬ ‪@africanewsfr‬ ‪@aljazeera‬ ‪@channelnewsasia‬ ‪@Wasafi_Media‬ ‪@TheCatholicTablet‬ ‪@SupercarBlondie‬ ‪@KidsTvAfrica‬ ‪@CNN‬ ‪@DWDocumentary‬ ‪@FactDwaar‬ ‪@VOANews‬ ‪@HISTORY‬ ‪@TIME‬ ‪@opkradio‬ ‪@opkstudioz‬ ‪@opkmediaz‬ ‪@onesmokisusa‬ ‪@BBC‬ ‪@VaticanNews‬ ‪@opkradio‬ ‪@VOANews‬ ‪@TBC_Online‬​

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
"Shoroba Mwalobaini wa Kilimo" -  RC Senyamule

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

TAZAMA : TATHIMINI YA UFAULU WA MITIHANI YA KITAIFA DARASA LA NNE NA DRS LA SABA 2026 HANDENI DC

TAZAMA : TATHIMINI YA UFAULU WA MITIHANI YA KITAIFA DARASA LA NNE NA DRS LA SABA 2026 HANDENI DC

RC MRINDOKO AWAAGIZA VIONGOZI KUTATUA KERO ZA WANANCHI KWA WAKATI.

RC MRINDOKO AWAAGIZA VIONGOZI KUTATUA KERO ZA WANANCHI KWA WAKATI.

RC MTANDA  AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA WATOTO NJITI    KWIMBA

RC MTANDA AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA WATOTO NJITI KWIMBA

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 23.02.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 23.02.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast

Такого я ещё не видел! Лазерный уровень LT L16-360f и LT 3D-A12 - детальный обзор и проверка

Такого я ещё не видел! Лазерный уровень LT L16-360f и LT 3D-A12 - детальный обзор и проверка

KUMBUKUMBU 2025 PRESS 🔴 Wadiwa Madeni ya Tumbaku Singida Kushikiliwa

KUMBUKUMBU 2025 PRESS 🔴 Wadiwa Madeni ya Tumbaku Singida Kushikiliwa

Haki Yasogezwa Karibu: Mwarobaini wa Unyanyasaji wa Kimtandao kupatikana

Haki Yasogezwa Karibu: Mwarobaini wa Unyanyasaji wa Kimtandao kupatikana

Лукашенко: Будешь вместе с ним убирать! / ЖЁСТКИЙ разговор с правительством

Лукашенко: Будешь вместе с ним убирать! / ЖЁСТКИЙ разговор с правительством

Ijue Hati Miliki ya Ardhi na Matumizi ya Ardhi | PAGE8 Final EP03

Ijue Hati Miliki ya Ardhi na Matumizi ya Ardhi | PAGE8 Final EP03

🔴#TBCLIVE: WAZIRI MKUU KATIKA MKUTANO WA HADHARA NA WANANCHI WA ARUMERU

🔴#TBCLIVE: WAZIRI MKUU KATIKA MKUTANO WA HADHARA NA WANANCHI WA ARUMERU

Стивен Коткин и Орвилл Шелл: Что движет Путиным и Си (часть первая) | Интервью журналу Foreign Af...

Стивен Коткин и Орвилл Шелл: Что движет Путиным и Си (часть первая) | Интервью журналу Foreign Af...

КУДА ИСЧЕЗЛИ 50 МИЛЛИОНОВ ТОНН ПОРОДЫ? ЗАГАДКА КОТОРУЮ СКРЫВАЮТ 90 ЛЕТ

КУДА ИСЧЕЗЛИ 50 МИЛЛИОНОВ ТОНН ПОРОДЫ? ЗАГАДКА КОТОРУЮ СКРЫВАЮТ 90 ЛЕТ

USHAURI, MASWALI NA MAJIBU, MAELEKEZO YA DC GOWELE KIKAO CHA BARAZA LA DDC

USHAURI, MASWALI NA MAJIBU, MAELEKEZO YA DC GOWELE KIKAO CHA BARAZA LA DDC

JAMII YAASWA KUZINGATIA MALEZI YA MUITIKIO, ILI KUJENGA KIZAZI KILICHONBORA NA TIMILIFU.

JAMII YAASWA KUZINGATIA MALEZI YA MUITIKIO, ILI KUJENGA KIZAZI KILICHONBORA NA TIMILIFU.

TAZAMA:  AEK MAZINGARA ATAMBUA JUHUDI ZA WALIMU NA KUTOA TUZO

TAZAMA: AEK MAZINGARA ATAMBUA JUHUDI ZA WALIMU NA KUTOA TUZO

"Ukifeli anza tena upya, Usikate Tamaa, Nilifeli mara 11" - Nanauka

США заблокировали F-35 и турки ответили оружием которого боятся все: TCG Anadolu!

США заблокировали F-35 и турки ответили оружием которого боятся все: TCG Anadolu!

Предупреждение адмирала Джихата Яйджы по Ирану: что будет делать Турция, если США нанесут удар?

Предупреждение адмирала Джихата Яйджы по Ирану: что будет делать Турция, если США нанесут удар?

Почему жить в Португалии стало невозможно?

Почему жить в Португалии стало невозможно?

Репортаж с Мюнхенской конференции по безопасности с генералом Дэвидом Петреусом

Репортаж с Мюнхенской конференции по безопасности с генералом Дэвидом Петреусом

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]