RC MRINDOKO AWAAGIZA VIONGOZI KUTATUA KERO ZA WANANCHI KWA WAKATI.
Автор: MM MEDIA OFFICIAL
Загружено: 2026-02-20
Просмотров: 82
Описание:
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amewataka viongozi kuanzia ngazi ya kitongoji hadi wilaya katika Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kutekeleza majukumu yao kwa upendo, kuzingatia utu na kusambaza tabasamu kama anavyoelekeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, huku wakizingatia sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa.
Akizungumza katika kikao kazi na viongozi hao Februari 19, 2026, RC Mrindoko amesisitiza kuwa kila kiongozi ana dhamana na wajibu wa kushughulikia changamoto za wananchi anaowaongoza, kupitia kikao hicho kimetumika pia kuwakumbusha wajibu wao, akiwataka kurejea katika maeneo yao na kutekeleza majukumu hayo kikamilifu.
_________________________________________
KWA HABARI NA MATUKIO YOTE, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA
0627 466 950 AU 0742 125 621
#MMMEDIA
MPANDA-KATAVI
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: