DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 23.02.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-02-23
Просмотров: 4992
Описание:
Hujambo ni wakati mwingine tunapokutana katika Dunia Yetu Leo Asubuhi miongoni mwa utakayoyasikia;-
Mazungumzo ya Iran na Marekani yatarajiwa Alhamisi licha ya hofu ya mashambulizi.
Serikali ya Sudan inayoungwa mkono na jeshi imekosoa Uganda kwa kumkaribisha mkuu wa wanamgambo wa RSF Mohamed Hamdan Daglo maarufu kama Hemeti.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: