ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MBUNGE AAHIDI KUOGA HADHARANI MRADI WA MAJI UKIKAMILIKA

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2025-02-23

Просмотров: 722

Описание: Mbunge wa Handeni Mjini, Kwagilwa Ruben, ameahidi kuoga hadharani baada ya kukamilika kwa mradi mkubwa wa maji wilayani Handeni, mkoani Tanga.

Akizungumza mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyeanza ziara yake ya kikazi mkoani humo leo Jumapili, Februari 23, 2025, Ruben amesema mradi huo utakapokamilika na maji kuanza kutiririka, atatekeleza ahadi yake kama ishara ya furaha kwa wananchi waliokuwa na changamoto ya upatikanaji wa maji kwa muda mrefu.

" Mheshimiwa Rais, kwa furaha niliyonayo, siku maji yatakapotiririka baada ya mradi huu mkubwa kukamilika, nimewaahidi wananchi hawa kuwa nitaoga hadharani! Hata hivyo, hicho mnachosubiri kukiona hamtakiona maana nitaoga na nguo," amesema Ruben akiwachangamsha wananchi.

Video na Khatibu Mgeja.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MBUNGE AAHIDI KUOGA HADHARANI MRADI WA MAJI UKIKAMILIKA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MBUNGE WA HANDENI AWASHA MOTO BUNGENI KUHUSU BARABARA ZA VIJIJINI.

MTOTO WA KIGODA HANDENI AMPA BARAKA MGOMBEA MPYA CCM JUKWAANI, AHADI NI MAJI, BARABARA, ELIMU, ARDHI

Mbunge Shekilindi avunja rekodi ya kutaja vijiji vya jimbo lake Bungeni

Какая была еда в Древнем Риме 2 000 лет назад — исторический документальный фильм

Mgombea wa CCM Handeni Aahidi Kuoga Hadharani Mradi wa Maji Ukikamilika

ROMBOWASSA KUKAMILISHA MIRADI YA MAJI ROMBO/KERO SASAYAANZA KUFIKIA TAMATI.

🔴RAIS SAMIA AKIFUNGUA  JENGO LA HALMASHAURI YA MJI WA HANDENI

REUBEN KWAGILWA – Mbunge wa jimbo la Handeni mjini.

Rais Magufuli Akiwahutubia Wananchi wa Handeni -Tanga

Mavunde atoa siku 14 kutafutwa mwekezaji wa tatu Mgodi wa Magambazi Handeni

WANATAKA KUONGEZA BEI YA MAFUTA WAKIJIFICHA NA VITA IRAN.Ndindi Nyoro risks his life EXPOSING gvt

LEMA AMAVAA MBUNGE  WA HANDENI VIJIJINI

LEMA AMAVAA MBUNGE WA HANDENI VIJIJINI

Mbunge wa Handeni mjini Mhe.Reuben Kwagilwa leo Bungeni.

Duuuh Hapatoshi Mbunge Ruben Kwagilwa amchana Makavu Waziri na Manaibu wake mbele ya Wabunge

SERIKALI HANDENI KUBORESHA MASOKO YAKE

SERIKALI HANDENI KUBORESHA MASOKO YAKE

Huyu anaitwa John Sallu; Tazama aliyoyasema Bungeni leo

BIBI APEWA RUKSA NA WAZIRI MKUU ATAJE PESA ANAYOTAKA KULIPA BAADA YA AFISA ARDHI KUSHINDWA KUONGEA

Правительство использует самолеты-пчелы для вытеснения слонов с сельских кукурузных полей.

WANANCHI HANDENI WAJA JUU KUHUSU WATUMISHI WA HALMASHAURI.

MWENYEKITI CCM WILAYA YA HANDENI ANAVYOTUMIKA NA MBUNGE WA JIMBO LA HANDENI MJINI KUWATISHA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]