WANANCHI HANDENI WAJA JUU KUHUSU WATUMISHI WA HALMASHAURI.
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2021-01-04
Просмотров: 882
Описание:
Wananchi wa kata ya Kiva halmashauri ya wilaya ya Handeni mkoani Tanga,wamemuomba mkurugenzi wa eneo hilo,kuwachukulia hatua watumishi ambao wamepangwa kufanyakazi kwenye vijiji vyao lakini hawaonekani kazini na badala yake wanaishi sehemu nyingine.
Hayo yamesemwa kwa nyakati tofauti na wananchi wa vijiji vya Kweditilibe,Kiva na Kwedibangala kwenye mkutano wa hadhara wa kushukuru wa mbunge wa jimbo hilo John Sallu na kusema kuwa moja ya changamoto walionayo ni wataalam waliopangwa kufanyakazi kwenye vijiji vyao kutoonekana.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: