Bashiru Ally akataa misaada ya masharti
Автор: Azam TV
Загружено: 2019-01-08
Просмотров: 446
Описание: Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dokta Bashiru Ally amesema hawapo tayari kuona Tanzania inapokea misaada ya masharti kutoka kwa nchi wahisani na badala yake watahakikisha rasilimali zilizopo zinatumika ipasavyo katika kujiletea maendeleo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: