DR BASHIRU Aanza na Onyo Kali kwa CCM
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-05-31
Просмотров: 25743
Описание:
Dkt BASHIRU Aanza na Onyo Kali kwa CCM.....
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahhman Kinana leo Mei 31, 2018 amekabidhi ofisi kwa Katibu Mkuu mpya aliyeteuliwa Dkt Bashiru Ally.
Baada ya kukabidhiwa ofisi, Dkt Bashiru Ally, amemshukuru Kinana kwa kumkabidhi ofisi hiyo na pia amewaomba waandishi wa Habari kumpa ushirikiano wa dhati, Kuhoji pale wanapotaka kufahamu jambo lakini pia kukosoa kwa nia ya kujenga pale ambapo wanayaona makosa na pia kusifia pale wanapoyaona mazuri.
lnstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: