Siku ya Arafa ina umuhimu gani kwa Muislamu? | DW Kiswahili
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-06-05
Просмотров: 444
Описание: Siku ya Arafa ni siku muhimu ambapo mahujaji hukusanyika kwenye mlima Arafat, wakinyenyekea mbele ya Mwenyezi Mungu, wakiomba msamaha, rehema, na dua. Hii ni ibada ya kipekee ambayo sio tu nguzo ya tano ya Uislamu, bali pia ni tukio lenye uzito wa kiroho kwa mamilioni ya Waislamu duniani. DW imezungumza na #Sheikh #Abdallah #Ndauga, Rais wa Haiyatul Ulamaa Tanzania ambaye kutoka Makka, akizungumzia uzito wa siku hii. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: