DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 25.02.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-02-26
Просмотров: 4687
Описание:
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu leo | Podcast | Swahili News
Haya ni miongoni mwa tuliyokuandalia kwenye Dunia Yetu Leo Jioni:
Waziri Mkuu wa India amewasili nchini Israel katika ziara inayolenga kuimarisha uhusiano wa kibiashara na ulinzi
Serikali ya Tanzania yakaribia kuruhusu dawa mpya ya kuzuia virusi vya Ukimwi VVU
Idadi ya watu wanaokabiliwa na uhaba wa chakula nchini Somalia imeongezeka na kufikia watu milioni 6.5
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: