Waziri Ruku awaonya ODM dhidi ya kumezea mate wadhfa wa Kindiki
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-03-03
Просмотров: 21
Описание: Waziri wa Utumishi wa Umma Geoffrey Kiringa Ruku amewaonya wanachama wa ODM dhidi ya kumezea mate wadhfa wa mgombeaji mwenza wa Rais Ruto katika uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza kaunti ya kwale Ruku amebaini kuwa Kindiki ameonyesha uwezo wake wa kufanya kazi na Rais Ruto na hatang'atuka kutoka wadhfa huo, na ikiwa ODM wanataka unaibu wa rais basi watakuwa mgombea mwenza wa Profesa Kindiki akiwania urais mwaka wa 2032.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: