Wabunge wa ODM wakubaliana kuandaa mazungumzo wa ushirikiano na vyama vya kisiasa
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-03-03
Просмотров: 37
Описание: Wabunge wa chama cha ODM chini ya uwenyekiti wa Seneta Oburu Oginga wameafikiana kuunga mkono jitihada za kiongozi wao kuanza mazungumzo na vyama vya kisiasa kabla na baada ya uchaguzi mkuu ujao. Wabunge pamoja na Maseneta hao wamesema mazungumzo hayo yataanza na chama cha UDA kwa lengo la kuwa katika uongozini kwenye serikali ijayo. Katika taarifa iliyosomwa na kiongozi wa wengi bungeni Junet Mohammed, chama hicho kimekubaliana kuandaa mkutano wa wajumbe tarehe 27 mwezi huu wa machi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: