Balozi wa Iran nchini asema Mashambulizi ya Irani dhidi ya Israel hayatafika nchini
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-03-02
Просмотров: 818
Описание: Balozi wa Iran hapa nchini Kenya Ali Gholampour amewahakikishia wakenya mashambulizi ya Irani dhidi ya Israel na Marekani hayatafikia nchni. Akizungumza na wanahabari Jijini Nairobi, Gholampour amesema kwamba vilipuzi vinavyotumiwa katika mashambulizi hayo vinafika umbali wa kilomita 2000 pekee. Vilevile ametetea mashambulizi yaliotekelezwa katika kambi za kijeshi za Marekani akisema kwamba ndio njia ya pekee ya kujipigania. Haya yanajiri wakati Rais Ruto akilaani mashambulizi hayo huku mzozo huo ukiendelea.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: