ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

HUU HAPA MWENENDO WA BARABARA YA LIWALE TO MOROGORO

Автор: COM MEDIA

Загружено: 2022-03-24

Просмотров: 3475

Описание: Mwenendo wa ujenzi wa barabara ya inayoanza njia panda ya kijiji cha Napata wilayani Liwale mkoani Lindi mpaka Mkangira kwenye makutano ya moto ambao unatenganisha wilaya ya Liwale na mkoani Morogoro ambayo kwa hatua ya kwanza itagharimu zaidi ya shilingi milioni 700 kwa kazi ya uchongaji na ukataji miti fedha hizo zilizotokana na UVICO 19.

Hayo yamebainishwa na mkuu wa wilaya ya Liwale,Judith Nguli akiwa kwenye ziara kwenye ujenzi wa barabara hiyo ambayo inapita kwenye hifadhi ya Taifa ya Nyerere kusini Liwale ambapo ajionenea mwenendo wa kazi inayofanyika katika hatua ya uchongaji wa barabara wa km 130 huku mradi huo ukitarajia kukamilika ndani ya miezi 6 na umeanza februari 7 na kuishia agosti 7,2022.

Ukamilikaji wa barabara hiyo itafungua wilaya ya Liwale na mkoa wa Morogoro huku itasaidia katika kuhakikisha zoezi la dori kwenye hifadhi ya Taifa ya Nyerere.

KARIBU COM TV , Television ya Mtandaoni ambayo imejidhatiti katika kuakikisha unapata habari ,Matukio ,Burudani za ndani na nje ya Tanzania kwa uharaka na uwakika.

Unaweza kutupata kwenye mitandao ya kijamii kama hivi
INSTAGRAM : https://www.instagram.com/p/CPIn1ZNhB...

#COM TV #Comtv #Com Tv #LINDI #Tanzania #Liwale #habari #michezo

#COM TV #Comtv #Com Tv

#COM TV, #Comtv, #Com Tv

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
HUU HAPA MWENENDO WA BARABARA YA LIWALE TO MOROGORO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Удар по ядерному объекту / Больницы переполнены

Удар по ядерному объекту / Больницы переполнены

BARABARA YA LIWALE TO NANGURUKURU YAFUNGUKA NDANI YA SAA 24

BARABARA YA LIWALE TO NANGURUKURU YAFUNGUKA NDANI YA SAA 24

WANANCHI WA MANGIRIKITI LIWALE WALALAMIKIA TEMBO KULA MAZAO YAO | WAOMBA ASKARI WA WANYAMA PORI.

WANANCHI WA MANGIRIKITI LIWALE WALALAMIKIA TEMBO KULA MAZAO YAO | WAOMBA ASKARI WA WANYAMA PORI.

Zanzibar kuchukua hatua za kisheria kwa meli iliyopatwa na dawa za kulevya, katika Dira ya Dunia TV

Zanzibar kuchukua hatua za kisheria kwa meli iliyopatwa na dawa za kulevya, katika Dira ya Dunia TV

WAZIRI BASHUNGWA APIGA KAMBI LINDI, BARABARA YA LIWALE   NANGURUKURU YAANZA KUPITIKA

WAZIRI BASHUNGWA APIGA KAMBI LINDI, BARABARA YA LIWALE NANGURUKURU YAANZA KUPITIKA

"KAMATENI HAO"WAZIRI MKUU AKASIRIKA ARUSHA,MAMA ASIMULIA GARI NYEUSI KUMTEKA MWANAE"DC MPE ULINZI "

BASHUNGWA ATOA MASAA MATATU KUREJESHWA MAWASILIANO YA BARABARA YA MTWARA - MASASI ILIYOKATIKA

BASHUNGWA ATOA MASAA MATATU KUREJESHWA MAWASILIANO YA BARABARA YA MTWARA - MASASI ILIYOKATIKA

MKULIMA, MMILIKI WA RUANGWA HOTEL AFUNGUKA |

MKULIMA, MMILIKI WA RUANGWA HOTEL AFUNGUKA | "NI YANGU NA FAMILIA YANGU"

BARAZA LA MADIWANI LIWALE LAJA NA HOJA NZITO LAITAKA  SERIKALI KUTOA TAMKO RASMI

BARAZA LA MADIWANI LIWALE LAJA NA HOJA NZITO LAITAKA SERIKALI KUTOA TAMKO RASMI

Liwale walia na ubovu wa barabara, wasikitishwa na ahadi hewa za wanasiasa

Liwale walia na ubovu wa barabara, wasikitishwa na ahadi hewa za wanasiasa

MKUTANO WA HADHARA KATA YA LIKONGOLEWE - LIWALE LINDI

MKUTANO WA HADHARA KATA YA LIKONGOLEWE - LIWALE LINDI

LIWALE || Wakazi wa Liwale waitwa kwa wakala Mmenge kununua na kutengenezewa visimbuzi vya Azam TV

LIWALE || Wakazi wa Liwale waitwa kwa wakala Mmenge kununua na kutengenezewa visimbuzi vya Azam TV

SIMULIZI YA NGENDE NA MAAJABU YAKE/KUWA KIVUTIO CHA WATALII

SIMULIZI YA NGENDE NA MAAJABU YAKE/KUWA KIVUTIO CHA WATALII

BASHUNGWA ATOA MASAA MATATU KUREJESHWA MAWASILIANO YA BARABARA YA MTWARA MASASI ILIYOKATIKA

BASHUNGWA ATOA MASAA MATATU KUREJESHWA MAWASILIANO YA BARABARA YA MTWARA MASASI ILIYOKATIKA

BASHUNGWA HAKUNA KULALA APIGA KAMBI LINDI, BARABARA YA LIWALE - NANGURUKURU YAANZA KUPITIKA

BASHUNGWA HAKUNA KULALA APIGA KAMBI LINDI, BARABARA YA LIWALE - NANGURUKURU YAANZA KUPITIKA

150 самых захватывающих видеороликов о работе удивительных машин, инструментов и рабочих, запечат...

150 самых захватывающих видеороликов о работе удивительных машин, инструментов и рабочих, запечат...

Ulega: Hatutatoa Muda wa Ziada kwa Makandarasi Wazembe #lindi #daraja

Ulega: Hatutatoa Muda wa Ziada kwa Makandarasi Wazembe #lindi #daraja

MAKONDA NI HATARI AWAPIGA MKWARA MAWAZIRI

MAKONDA NI HATARI AWAPIGA MKWARA MAWAZIRI "KAMA BARABARA HAZITA JENGWA MAWAZIRI MSIKANYAGE ARUSHA

VIDEO; NGOMA ZA ASILI KUTOKA WILAYANI LIWALE

VIDEO; NGOMA ZA ASILI KUTOKA WILAYANI LIWALE

"KANDA HII WANAIOGOPA ETI KUNA UCHAWI SANA, HAKUNA UCHAWI NI KUTOKUJUA MAMBO MAZURI" MIZENGO PINDA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]