BARABARA YA LIWALE TO NANGURUKURU YAFUNGUKA NDANI YA SAA 24
Автор: COM MEDIA
Загружено: 2024-03-07
Просмотров: 1639
Описание:
Barabara ya Liwale to Nangurukuru Leo marchi 7,2024 mpaka kufikia majira ya saa 11 jioni imefunguka na magari yameanza kupita eneo la mlowoka ambapo palikuwa hapapitiki na kupelekea waziri wa ujenzi Innocent BASHUNGWA kufanya ziara machi 5-6 wilayani Liwale mkoani Lindi na kufuka eneo Hilo la Mlowoka na kutoa agizo kwa Tanroads ndani ya siku 4 Barabara hiyo iwe imefunguka.
Mkuu wa wilaya ya Liwale,Good luck Mlinga na na mtendaji mkuu wa Tanroads, Mohamedi Besta wamepiga kambi Leo eneo la Mlowoka na kushudia magari yakipita kuelekea Dar es salaam na mengine yakingia Liwale.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: