WAZIRI BASHUNGWA APIGA KAMBI LINDI, BARABARA YA LIWALE NANGURUKURU YAANZA KUPITIKA
Автор: Wizara ya Ujenzi
Загружено: 2024-03-08
Просмотров: 8130
Описание:
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameipongeza timu ya Wataalam kutoka Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), kwa kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha wanarejesha mawasiliano ya barabara ya Liwale - Nangurukuru ambayo imeanza kupitika.
Waziri Bashungwa ameeleza hayo leo Machi 08, 2024 mkoani Lindi wakati akikagua urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja kutokana na mvua kubwa iliyonyesha na kusababisha barabara kuu na madaraja yanayounganisha wilaya ya Liwale na maeneo mengine kufungwa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: