SIMANZI; MAZISHI YA MWANAFUNZI ALIYEFARIKI KWA KUPIGWA RISASI KWENYE MAANDAMANO SIMIYU, MANENO YA DC
Автор: Jambo FM Radio Tanzania
Загружено: 2024-08-24
Просмотров: 933
Описание:
Kijana Meshack Daud Paka aliyefariki dunia baada ya kupigwa na risasi katika maandamano yaliyotokea katika mji mdogo wa Lamadi, wilayani Busega Mkoani Simiyu umezikwa katika kijiji cha Lutubiga
Baadhi ya waombolezaji waliofika katika shughuli hiyo ya mazishi wameeleza hisia zao juu ya tukio hilo huku wakilishauri jeshi la polisi kuendelea mkutekeleza majukumu yao ipasavyo kwa kulinda raia na mali zao
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: