WANAWAKE MANISPAA YA MPANDA WAFANYA MAANDAMANO MAKUBWA KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Автор: Jambo FM Radio Tanzania
Загружено: 2026-03-06
Просмотров: 51
Описание:
Wanawake Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi wamefanya maandamano pamoja na kongamano ambalo limehusisha matukio mbalimbali ya kimichezo kama kuvuta kamba, kukimbiza kuku,kula Mayai kwa kijiko, kunywa soda kwa dakika moja pamoja na michezo Mingine.
Maandamano hayo yamefanyika katika Barabara za Manispaa ya Mpanda kisha ikafuatiwa na michezo iliyofanyika katika viwanja vya ukumbi wa Manispaa.
Mgeni Rasmi katika tukio hilo, akimwakilisha Mkuu wa wilaya ya Mpanda Katibu Tawala wa wilaya Bi. Fidesiana Mwanakulya amesema kuwa Serikali iko sambamba na wanawake katika kuwawezesha katika shughuli zao za kiuchumi kwa kuwapatia mikopo isiyo na riba ya asilimia 10 ambayo wanawake walio wengi wameshanufaika nayo.
#jambofmtanzania #news #chaguamaishafresh
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: