CBCTC,CHUO CHA MALIASILI KINACHOKABILIWA NA CHANGAMOTO LUKUKI
Автор: KUSINI NEWS
Загружено: 2017-08-27
Просмотров: 1042
Описание: Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na utalii Meja Generali Gaudance Milanzi amefanya ziara ya kawaida ya kutembelea Taasisi mbalimbali zilizopo chini ya Wizara yake mkoani Ruvuma. Moja ya Taasisi hizo ni chuo cha Mafunzo ya Uhifadhi wa Maliasili kwa Jamii (CBCTC) cha Likuyuseka Sekamaganga kilichopo Wilayani Namtumbo. Chuo hicho ambacho mwaka 1985 hadi 1995 kilitumika kama makazi ya wakimbizi wa Msumbiji, linakabiliwa na changamoto mbalimbali zikiwemo uchakavu wa miundombinu na changamoto ya mgogoro wa mpaka na wananchi .
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: