MKUTANO WA CPT TAIFA WAMEKETI DAR ES SALAAM NA KUJADILI MAMBO MBALIMBALI YAHUSUYO UTUME HUO.
Автор: Index Media_255
Загружено: 2025-12-01
Просмотров: 35
Описание:
MKUTANO WA CPT TAIFA WAMEKETI DAR ES SALAAM NA KUJADILI MAMBO MBALIMBALI YAHUSUYO UTUME HUO.
Mbagala Mission, DAR ES SALAAM
Juma hili Nov 26 & 27, 2025 mkutano wa Taifa wa Utume wa CPT uliketi katika Kituo cha Kiroho Mbagala, Dar es Salaam na kujadili mambo mbalimbali.
Kikao hicho kilichokuwa chini ya Mwenyekiti wake Advocate Thomas Brashi, ulipokea taarifa za utendaji kutoka majimboni, kupokea taarifa ya fedha ya mwaka 2024 iliyo kaguliwa, kujadili Uhai wa CPT na siala zima la Ulipaji wa Ada.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: