MZEE AJICHIMBIA KABURI MTWARA | AFUNGUKA MAZITO, MTUME WA MUNGU AHUSISHWA.
Автор: Faida Online TV
Загружено: 2023-01-20
Просмотров: 5199
Описание:
Katika hali isiyo ya kawaida Mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya Mussa Rashidi Maondo, maarufu kama Walii Liuje, mkazi wa Kijiji cha Chiwindi Halmashauri ya Mji Newala Mkoani Mtwara, amejichimbia Kaburi lake yeye mwenyewe huku akidai kuwa ameoteshwa na Mtume Muhammad (S.A.W) kufanya hivyo.
Faida Online TV tumefika Kijijini hapo na kuzungumza na Mzee huyo, huku Watoto wake nao wakimuunga mkono.
USISAHAU KU SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV KISHA BONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI KUPATA HABARI ZETU.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: