MZEE AELEZA ALIVYOUAWA SIMBA KARATASI MTWARA, KIJIJI CHA MALAMBA | KWA NINI ALIITWA KARATASI ?
Автор: Faida Online TV
Загружено: 2023-01-09
Просмотров: 5488
Описание:
Stori inayomuhusu Simba aliyekuwa tishio katika maeneo mengi ya Wialaya ya Mtwara, aliyefahamika kama Simba Karatasi ni Stori isiyosahaulika kwa wakazi wengi wa Mkoa wa Mtwara huku baadhi yao wakiwa hawajui kuwa Simba huyo aliuawa vipi.
Faida Online TV, Tumetembelea kwenye Kijiji cha Malamba, Kata ya Mtiniko Halmashauri ya Mji Nanyamba Kijiji alichouawa Simba huyo na Kuzungumza na Mzee Mfaume Ahmadi Namnyalika, Mmoja kati ya Wazee walioshiriki kwenye zoezi la kumnasa Simba huyo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: