MAMA MZAZI WA TONGOLANGA HANUFAIKI NA NYIMBO ZA MWANAE.
Автор: Faida Online TV
Загружено: 2024-06-18
Просмотров: 3613
Описание:
Mama mzazi wa aliyekuwa Msanii mashuhuri Tanzania Marehemu Halila Yusufu Tongolanga aliyefariki Dunia Juni 5 2017 Bi Mariam Mohammed Chiyoha, ameiambia Faida Online tv kuwa tangu Mtoto wake huyo afariki Dunia, hajawahi kunufaika na Chochote kupitia Nyimbo za Marehemu Mwanae Tongolanga.
Bi Mariam, ameyasema hayo baada ya Timu ya Faida Online tv kumtembelea Nyumbani kwake katika Kijiji cha Mchichira kilichopo Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara.
SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV ILI KUPATA HABARI ZETU
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: