Mbadi awataka wanaompinga Rais Ruto chamani kuwaelezea sababu zao
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-02-17
Просмотров: 107
Описание:
Waziri wa hazina ya kitaifa John Mbadi amefichua kwamba tofauti zinazoshuhudiwa katika chama cha Orange Democratic Movement (ODM) na baadhi ya wanachama kukataa kumuunga mkono Rais William Ruto, akiwemo Katibu Edwin Sifuna, zilianza kinara wa chama Raila Odinga akiwa hai ila si wakati huu.
Mbadi akiwataka wanaotafutiana na ODM kujieleza ipasavyo kwani Kenya kuna tu mirengo miwili ya kisiasa. Ametoa wito wa ushirikiano na umoja wa jamii ya Luo na ODM kwa ujumla, akipata uungwaji mkono kutoka kwa wazee wa jamii ya Luo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: