Serikali ya kitaifa yatarajiwa kujenga soko la kisasa Masii la SH.50M
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-02-17
Просмотров: 17
Описание:
Mbunge wa Mwala Vincent Kawaya amewaahidi wafanyabiashara wa soko la Masii kuwa atahakikisha wanajenga soko la kisasa katika eneo hilo la Masii baada ya moto kuteketeza mali ya wafanyabiashara takriban 73.
Ujenzi wa Soko hilo unatarajiwa kuanza hivi karibuni na unatarajiwa kuigharimu serikali ya kitaifa takriban millioni hamsini
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: