Ndindi asema viongozi watajinufaisha na kandarasi ya Kamera za NTSA
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-03-11
Просмотров: 19
Описание: Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro amepinga hatua ya serikali kuwatoza faini ya papo kwa hapo madereva wanaokiuka sheria za barabara akibaini kuwa lengo kuu la serikali kuleta sheria hizi ilikuwa kunufaisha watu wachache watakaopokea kandarasi ya kuweka kamera za kupima mwendo na kurekodi shughuli barabarani. Baadhi ya viongozi aidha wamelalamika kuwa mamlaka ya kitaifa ya usalama barabarani NTSA itawakandamiza madereva wakisema ni mahakama pekee iliyo na wajibu wakutoza faini kisheria.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: