Sifuna asema hamna yaliotekelezwa katika makubaliano ya ajenda 10
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-03-11
Просмотров: 15
Описание: Vugu vugu la Linda Mwananchi wakiongozwa na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna wamepuuzilia mbali ripoti ya Ajenda Kumi wakisema hamna yaliotekelezwa baada ya mwaka mmoja tangu kuasisiwa kwake. Wamesisitiza kwamba hadi kufikia sasa hakuna liliotekelezwa katika makubaliano waliotia saini ikiwemo kuheshimu haki za kibinadamu na suala la kushushwa kwa gharama ya maisha. Viongozi hao pia wameweka bayana kuwa tatizo kuu la taifa la Kenya ni uongozi wa Rais Ruto na katu hawatakubali kuwepo kwa mkataba mwingine kati ya ODM na UDA. Zablon Macharia na taarifa hiyo..
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: