Gachagua asema lengo ni kufurusha jamii ya Mlima ili kutopiga kura jijini 2027
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-03-10
Просмотров: 7
Описание: Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua amesuta serikali ya rais Ruto na gavana Sakaja kwa kulenga jamii ya Mlima Kenya katika ubomozi wa masoko jijini Nairobi. Gachagua akitoa mfano wa masoko kadha la hivi karibuni likiwa ni la Uhuru Nairobi, amesema lengo kuu la zoezi hili ni kufurusha jamii hii kutopata nafasi ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka wa 2027.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: