Idadi kubwa ya wapiga kura yajitokeza kwa uchaguzi mdogo West Kabras
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-25
Просмотров: 1710
Описание: Baadhi ya vituo vimesajili idadi kubwa ya wapiga kura katika wadi ya West Kabras, ambapo uchaguzi mdogo unaendelea. Shughuli hiyo ilianza saa kumi na mbili asubuhi ambapo wagombea sita wanawania kiti cha mwakilishi wadi kilichosalia wazi baada ya mwakilishi wake kupata kiti cha ubunge cha Malava.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: