“WANAFUNZI WANA KITABU KIMOJA, AJIRA HAKUNA, TUMBILI WAMEKULA MAZAO”
Автор: TMC NEWS TV
Загружено: 2026-02-19
Просмотров: 28
Описание:
Baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wamewasilisha changamoto zao mbele ya kiongozi wa Serikali wakati wa ziara yake mkoani humo.
Mwananchi mmoja, Mama Lishe, alilia kwa uchungu akisema katika shule ya kirachi wanafunzi wa darasa zima wanatumia kitabu kimoja, akihoji analipa ada ya kazi gani. Kauli hiyo iliguswa na wengi.
Changamoto nyingine zilizowasilishwa ni pamoja na wanyama aina ya tumbili kula mazao ya wakulima, pamoja na ubovu wa miundombinu ya barabara.
Akizungumzia suala la vitabu, Waziri wa Elimu Adolf Mkenda alisema taarifa hiyo inamshangaza na akaahidi kufuatilia.
Mwananchi mwingine alishauri Serikali ichimbe visima ili vijana walime kama chanzo cha ajira, akisema licha ya kusoma bado ajira ni adimu. Aliomba Serikali ifanye uchunguzi wa kina kutatua changamoto hizo#tmcnews565#Rombo#Kilimanjaro#ElimuBora#VitabuShuleni#MamaLishe#AdolfMkenda#ChangamotoZaWananchi#Wakulima#Tumbili#Miundombinu#Barabara#AjiraKwaVijana
#KilimoNiAjira#SerikaliIsikilizeWananchi#MaendeleoYaWananchi
Endelea kuwa nasi—usiondoke. TMC News TV inakuletea kila hatua, kila sauti, na kila ujumbe muhimu moja kwa moja.
👍 Like, video zetu ili kuona kila taarifa muhimu haraka!
🔔 Subscribe sasa na usikose kila update mpya.
📤 Share na marafiki na familia ili kila mtu apate ukweli.
💬 Comment chini na tuambie maoni yako—tuna thamini sauti yako!
TMC News – shaping the future
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: