🔴
Автор: TMC NEWS TV
Загружено: 2026-02-20
Просмотров: 67
Описание:
Fuatilia mubashara mkutano wa Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamani Sedoyeka, akitangaza miradi ya maendeleo na fursa mbalimbali kwa vijana kwa mwaka wa 2025/26. Mkutano huu unafanyika leo na unalenga kutoa mwanga kuhusu nafasi za elimu, ujuzi, ubunifu na maendeleo ya vijana nchini.
#Live #IAA #MaendeleoYaVijana #FursaZaVijana #ElimuTanzania #Maelezo #TBC1 #Arusha #MiradiYaMaendeleo #Mwaka2025_26
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: