Mradi wa Liganga na Maganga Matitu kuanza hivi karibuni
Автор: ViwandaBiashara TV
Загружено: 2025-02-18
Просмотров: 4560
Описание:
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo, leo tarehe 18.02.2025 ameendelea na ziara yake ya kikazi Wilayani Ludewa Mkoani Njombe na kufika kwenye Mradi mkubwa na wa Kielelezo wa Chuma cha Liganga pamoja na Mlima mdogo wa Maganga Matitu inayosimamiwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC)
Waziri Jafo amesema mMadi huu unaweza kuanza mwaka huu 2025 kwani wataalum wa NDC kwa niaba ya Serikali pamoja na wawakilishi wa Mwekezaji wanakamilisha vipengele vya kimkataba ili Mradi huo uweze kuanza.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: