ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Serikali Kushirikiana na Wananchi kutekeleza Mradi wa Makaa ya Mawe Mchuchuma na Katewaka

Автор: ViwandaBiashara TV

Загружено: 2025-02-18

Просмотров: 391

Описание: Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe Dkt. Selemani Jafo (Mb.) ameliagiza Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kukamilisha majadiliano na Mwekezaji wa Mradi wa Makaa ya Mawe Ketawaka Kampuni ya MM Steel Resource Public Ltd( MMSR) kufikia makubaliano ndani ya wiki tatu ili utekelezaji wa Mradi huo uanze.

Vilevile, Waziri Jafo ameliagiza Shirika hilo kushirikiana na Wadau wake mbalimbali katika Mradi wa Makaa ya Mawe Mchuchuma na Katewaka kujenga madarasa mawili katika Shule ya Msingi Nkomang’ombe iliyopo katika maeneo ya Miradi hiyo.

Waziri Jafo ametoa agizo hilo Februari 17, 2025 wakati wa ziara yake Mkoani Njombe katika Wilaya ya Ludewa yenye lengo la kukagua maendeleo ya utekelezaji wa Mradi Mchuchuma na Ketawaka, Liganga na Maganga Matitu pamoja na kuongea na Wananchi wa maeneo hayo.

Akiongea na Wananchi wa Kijiji cha Nkomang’ombe, Waziri Jafo amewahakikishia kuwa atashirikiana nao kuhakikisha Mradi huo unaanza kutekelezwa ili kutimiza malengo ya Serikali ya Awamu ya Sita, kuongeza ajira na Pato la Taifa kwa ujumla.

Awali Afisa Mradi wa NDC Bw. Wallu Kapaya akitoa Taarifa ya utekelezaji wa Mradi wa Ketawaka amesema Mradi huo una tani milioni 100 za makaa ya mawe utakaapoanza uchimbaji una uwezo wa kuzalisha tani milioni 1.5 kwa mwaka na unatarajiwa kudumu kwa miaka 100 huku ukitoa ajira 1000 ambapo ajira za moja kwa moja 250

Naye Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika hilo Bi Esther Mwaigomole akitoa Taarifa ya utekelezaji wa Mradi wa Makaa ya Mawe ya Mchuchuma yaliyogunduliwa mwaka 1860. amesema Mradi huo unahifadhi tani milioni 426 za Makaa ya Mawe ambapo uzalishaji ukianza tani milioni tatu zitazalishwa kwa mwaka na Mradi utadumu kwa miaka 426 huku ukitoa ajira 33000.

Viongozi wa Mkoa wa Njombe, akiwemo Kaimu Mkuu wa Mkoa Bw. Juma Sweda na Mbunge wa Ludewa, Joseph Kamonga, wamesema kuwa kukamilika kwa miradi ya Mchumchuma na Ketawaka kutakuwa hatua kubwa katika kubadilisha uchumi wa wananchi wa Ludewa na maeneo jirani.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Serikali Kushirikiana na Wananchi kutekeleza Mradi wa Makaa ya Mawe Mchuchuma na Katewaka

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

⚡ПАРУ ЧАСОВ НАЗАД! Путин СДЕЛАЛ ВАЖНЫЙ АНОНС на 2026 по

⚡ПАРУ ЧАСОВ НАЗАД! Путин СДЕЛАЛ ВАЖНЫЙ АНОНС на 2026 по "СВО"! Москва ГОТОВИТ ОБЪЯВИТЬ ПОБЕДУ

Путин объявил о победе / Конец спецоперации / Судьба оккупированных земель / Итоги 2025

Путин объявил о победе / Конец спецоперации / Судьба оккупированных земель / Итоги 2025

UJUMBE KUTOKA ZANZIBAR WATEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI KIGAMBONI

UJUMBE KUTOKA ZANZIBAR WATEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI KIGAMBONI

NEEMA YAWATEMBELEA WAMAASAI || KULIPWA FIDIA MRADI WA MAGADI SODA ENGARUKA

NEEMA YAWATEMBELEA WAMAASAI || KULIPWA FIDIA MRADI WA MAGADI SODA ENGARUKA

Orędzie noworoczne Prezydenta RP

Orędzie noworoczne Prezydenta RP

WAZIRI JAFO AFIKA MLIMA KIMELEMBE ULIOKWAMISHA MIRADI NA KUUA WATU, LUDEWA-NJOMBE

WAZIRI JAFO AFIKA MLIMA KIMELEMBE ULIOKWAMISHA MIRADI NA KUUA WATU, LUDEWA-NJOMBE

🔴#LIVE  WAZIRI JAFO AKAGUA MRADI WA LIGANGA NA MAGANGA MATITU

🔴#LIVE WAZIRI JAFO AKAGUA MRADI WA LIGANGA NA MAGANGA MATITU

Makaa ya Mawe Ludewa rasmi kuanza kusafirishwa/mkaa upo wa kutosha/Fursa za kutosha kwa vijana.

Makaa ya Mawe Ludewa rasmi kuanza kusafirishwa/mkaa upo wa kutosha/Fursa za kutosha kwa vijana.

Fahamu kuhusu Mradi wa Makaa ya Mawe, Mchuchuma

Fahamu kuhusu Mradi wa Makaa ya Mawe, Mchuchuma

MELI KUBWA YA MIZIGO YATIA NANGA KAREMA KUPAKIA MAKAA YA MAWE KWENDA BURUNDI, WANANCHI WAFURAHIA

MELI KUBWA YA MIZIGO YATIA NANGA KAREMA KUPAKIA MAKAA YA MAWE KWENDA BURUNDI, WANANCHI WAFURAHIA

Prezydent Nawrocki: wybierając mnie, Polacy wyraźnie pokazali, że nie podoba im się ten rząd!

Prezydent Nawrocki: wybierając mnie, Polacy wyraźnie pokazali, że nie podoba im się ten rząd!

Mradi wa Liganga na Maganga Matitu kuanza hivi karibuni

Mradi wa Liganga na Maganga Matitu kuanza hivi karibuni

KUTOKA KUTENGENEZEA WINE NYUMBANI MPAKA SASA ANAMILIKI KIWANDA ASANTE SIDO TANZANIA

KUTOKA KUTENGENEZEA WINE NYUMBANI MPAKA SASA ANAMILIKI KIWANDA ASANTE SIDO TANZANIA

DP Kindiki ako Nyuma ya Maina Njega, Rais Ruto alisema Mtu akitisha Chairman ng'wee! Makarina Fumes

DP Kindiki ako Nyuma ya Maina Njega, Rais Ruto alisema Mtu akitisha Chairman ng'wee! Makarina Fumes

Kiwanda cha Kuzalisha vipuri na mashine mbalimbali - KMTC

Kiwanda cha Kuzalisha vipuri na mashine mbalimbali - KMTC

MRADI WA MAGANGA MATITU UNATEGEMEWA KULETA MABADILIKO WILAYA YA LUDEWA.

MRADI WA MAGANGA MATITU UNATEGEMEWA KULETA MABADILIKO WILAYA YA LUDEWA.

Magufuli alipotembelea Ludewa

Magufuli alipotembelea Ludewa

ArmComedy 1364 - 2025 վերջին թողարկումը

ArmComedy 1364 - 2025 վերջին թողարկումը

Հարցազրույց Ալեն Սիմոնյանի հետ

Հարցազրույց Ալեն Սիմոնյանի հետ

Kusuasua kwa mradi wa Mchuchuma na Liganga, Serikali yaigilia kati

Kusuasua kwa mradi wa Mchuchuma na Liganga, Serikali yaigilia kati

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]