ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

WAZIRI JAFO ALIVYOPANDA MLIMA WA CHUMA CHA LIGANGA, MRADI UNAOANZA KUTEKELEZWA HIVI PUNDE

Автор: Mchuchuma tv

Загружено: 2025-02-18

Просмотров: 991

Описание: Mradi wa Uchimbaji Chuma Liganga kuanza hivi karibuni

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Suleiman Jafo (Mb) amesema Serikali iko katika hatua za mwisho za kimkataba katika utekelezaji wa Mradi wa uchimbaji chuma wa Liganga ili uweze kuanza kazi mapema mwaka 2025.

Waziri Jafo ameyasema hayo Februari 18, 2025 mara alipofika katika Mradi wa Kielelezo wa Chuma wa Liganga pamoja na Mlima mdogo wa Maganga Matitu wakati wa ziara yake ya kikazi Wilayani Ludewa Mkoani Njombe iliyoanza Februari 17 - 19, 2025.

"Imani yetu ni kwamba ndani ya mwaka huu 2025, Mungu akijalia Mradi huu ambao ni mkombozi katika uchumi wetu kwa kuokoa fedha nyingi inayotumika kiagiza chuma nje ya nchi uanze kwasababu malighafi ya chuma ni muhimu sana katika ujenzi wa madaraja, barabara, majengo pamoja na matumizi mbalimbali " Amesema Dkt. Jafo.

Akiongea na Wananchi wa Kijiji cha Mudindi Waziri Jafo amewahakikishia kuwa Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kuweka miundombinu wezeshi kama Barabara , umeme wa viwandani maji na huduma nyingine za kijamii ili kuuwezesha Mradi huo wa Kielelezo kutekelezeka kwa ufanisi kwa manufaa ya Taifa.

Aidha, ametoa rai kwa Wananchi wa Wilaya ya Ludewa kuchangamkia fursa mbalimbali za kibiashara kama kujenga hotel za kisasa na fursa nyingine za kibiashara mara Mradi huo utakapoanza kutekelezwa , kutunza miundombinu ya mradi huo pamoja na kishirikiana na Seeikali kihakikisha Mradi huo unatekelezwa kwa ufanisi.

Naye, Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) linalosimamia miradi hiyo, Bi Esther Mwaigomole amesema kuanza kwa mradi huo ambapo Liganga utadumu kwa miaka 50 na Maganga Matitu miaka 25, Tanzania rasmi itakuwa nchi ya nne barani Afrika kwa uzalishaji wa chuma.

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Olivanus Thomas amesema kuwa utekelezaji wa Mradi huo utasaidia Halmashauri kukuza mapato, kuongeza ajira na kukuza maendeleo ya Wananchi.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
WAZIRI JAFO ALIVYOPANDA MLIMA WA CHUMA CHA LIGANGA, MRADI UNAOANZA KUTEKELEZWA HIVI PUNDE

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Mradi wa Liganga na Maganga Matitu kuanza hivi karibuni

Mradi wa Liganga na Maganga Matitu kuanza hivi karibuni

RC MTAKA AFUNGA MWAKA 2025 KWA MWELEWKEO WA UCHUMI, BODABODA NA BAJAJI NJOMBE WAASWA KUJIUNGA SACCOS

RC MTAKA AFUNGA MWAKA 2025 KWA MWELEWKEO WA UCHUMI, BODABODA NA BAJAJI NJOMBE WAASWA KUJIUNGA SACCOS

BARABARA ZA NJOMBE: KAMATATI YA SIASA LUDEWA YARIDHISHWA NA UJENZI

BARABARA ZA NJOMBE: KAMATATI YA SIASA LUDEWA YARIDHISHWA NA UJENZI

RC MTAKA

RC MTAKA "BIMA YA AFYA KWA WOTE NI MWAROBAINI WA MARADHI YA WATANZANIA.

🔴Fursa mradi wa kimkakati wa Liganga na Mchuchuma. Je, wana Njombe wamejipanga vipi kunufaika nazo?

🔴Fursa mradi wa kimkakati wa Liganga na Mchuchuma. Je, wana Njombe wamejipanga vipi kunufaika nazo?

Вечная канализация БЕЗ ОТКАЧКИ! Проверено годами на практике!

Вечная канализация БЕЗ ОТКАЧКИ! Проверено годами на практике!

Deo Filikunjombe Jembe la Ludewa

Deo Filikunjombe Jembe la Ludewa

Impossible Woodturning! Unusual devices. Oak. Diy. Необычная токарка по дереву. Необычные приспособы

Impossible Woodturning! Unusual devices. Oak. Diy. Необычная токарка по дереву. Необычные приспособы

Magufuli alipotembelea Ludewa

Magufuli alipotembelea Ludewa

Makaa ya Mawe Ludewa rasmi kuanza kusafirishwa/mkaa upo wa kutosha/Fursa za kutosha kwa vijana.

Makaa ya Mawe Ludewa rasmi kuanza kusafirishwa/mkaa upo wa kutosha/Fursa za kutosha kwa vijana.

Man Builds an Underground House in the Forest | Start to Finish

Man Builds an Underground House in the Forest | Start to Finish

Inside the Largest Wood Sawmill Factory – How Plywood Is Made From Logs to Table (Full Process)

Inside the Largest Wood Sawmill Factory – How Plywood Is Made From Logs to Table (Full Process)

Mmomonyoko wa udongo wafunga barabara ya Ludewa -Njombe

Mmomonyoko wa udongo wafunga barabara ya Ludewa -Njombe

Spiral lamp with shade. Woodturning DIY. Bronze, Oak, Pine. Спиральная лампа. Бронза, Дуб, Сосна.

Spiral lamp with shade. Woodturning DIY. Bronze, Oak, Pine. Спиральная лампа. Бронза, Дуб, Сосна.

Ludewa ya Utalii

Ludewa ya Utalii

Тумба под телевизор из ясеня с деревянными спиралями и петлями. Дверные ручки из латуни.

Тумба под телевизор из ясеня с деревянными спиралями и петлями. Дверные ручки из латуни.

Шорцы. Экспедиция в Горную Шорию к коренному малочисленному народу. Снежный человек йети из тех мест

Шорцы. Экспедиция в Горную Шорию к коренному малочисленному народу. Снежный человек йети из тех мест

RC MTAKA AWEKA MIKAKATI MIPYA NA WAFANYABIASHARA WA NJOMBE KUELEKEA 2026, WAFANYABIASHARA WAFUNGUKA

RC MTAKA AWEKA MIKAKATI MIPYA NA WAFANYABIASHARA WA NJOMBE KUELEKEA 2026, WAFANYABIASHARA WAFUNGUKA

DAKIKA 97 MSIMAMO WA RC MTAKA KUHUSU USHURU WA VYOO, UTAJIRI UPO KWENYE KILIMO, VIDEO 2022 NJOMBE

DAKIKA 97 MSIMAMO WA RC MTAKA KUHUSU USHURU WA VYOO, UTAJIRI UPO KWENYE KILIMO, VIDEO 2022 NJOMBE

РЫСЬ В ДЕЛЕ... Рысь против волка, койота, змеи, оленя!

РЫСЬ В ДЕЛЕ... Рысь против волка, койота, змеи, оленя!

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]