FAHAMU KUHUSU BIMA YA AFYA KWA WOTE NA UMUHIMU WAKE
Автор: Bariadi DC
Загружено: 2026-03-07
Просмотров: 23
Описание:
Je, ushawahi kusikia kuhusu Bima ya Afya kwa wote? Na unafahamu vigezo na masharti ya kujiunga na huduma hii ambayo inalenga kuboresha upatikanaji wa huduma za afya kwa jamii?
Huyu hapa Elisha Mtewe, Mratibu wa Elimu kwa Umma katika Hospitali ya Wilaya ya Bariadi akieleza dhana nzima ya huduma hii ambayo imeanzishwa na ili kuhakikisha kila Mwananchi anapata huduma za afya za uhakika na kwa gharama nafuu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: