AJIRA MPYA BARIADI DC
Автор: Bariadi DC
Загружено: 2026-01-30
Просмотров: 19
Описание:
Unapofika mahali kwa mara ya kwanza huwa kuna hisia mseto ambazo unakuwanazo, wakati mwingine mambo huweza kuwa tofauti sana na ulivyokuwa ukidhani.
Kutana na watumishi wa ajira mpya waliopangiwa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi wakieleza hisia zao mara baada ya Kufika kuripoti kituoni hapo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: