Jinsi ya Kukadiria Mtaji wa Kuanzisha Duka la Nguo kwa Urahisi
Автор: How to Start Business Channel
Загружено: 2021-11-24
Просмотров: 10146
Описание:
Moja kati ya changamoto zinazo mkabili mjasiriamali anayetaka kuanzisha biashara ya nguo ni kukadiria kiasi cha mtaji wa biashara kinacho hitajika. Sasa basi, utafahamu vipi kiasi cha mtaji kinacho hitajika kwa ajili ya biashara ya nguo? Katika video hii nitakueleza mambo ya kutafakari wakati unafanya makadirio ya mtaji wa biashara ya nguo.
1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab...
3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
5. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
YouTube: / alimwambola
#jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: