Jinsi ya Kuanzisha Biashara ya Nguo Yenye Faida: Business Plan!
Автор: How to Start Business Channel
Загружено: 2021-11-09
Просмотров: 2539
Описание:
Jinsi ya kuanzisha biashara ya nguo yenye faida. Kutengeneza Business plan ya biashara ya nguo ni ya muhimu sana unapotaka kuanzisha biashara ya duka la nguo. Huwezi kutekeleza mambo yote kwa ufanisi kama hauna maandiko yatakayo kuongoza. Business Plan ni mandiko ambayo unatakiwa kuwa nayo, ambayo huwa ni dira inayokuongoza jinsi ya kuanzisha na kusimamia biashara mpya. Business Plan nzuri ni ile inayokuongoza kuanzia hatua ya mwanzo ya kuanzisha biashara na usimamizi wake kwa ujumla. Video inaeleza mambo muhimu 7 ambayo hutumika wakati wa kutengeneza business plan ya biashara ya duka la nguo.
1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab...
3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
5. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
YouTube: / alimwambola
#jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: