Fahamu Siri 7 Za Kupata Faida Kubwa Kwenye Biashara ya Nguo!
Автор: How to Start Business Channel
Загружено: 2025-07-19
Просмотров: 828
Описание:
Asilimia kubwa ya wafanyabiashara wa nguo wanalia biashara ya nguo ni ngumu na wanafilisika!
Lakini kuna asilimia ndogo, kimya kimya, wanatengeneza pesa za KICHIZI kila mwezi.
Umewahi kujiuliza hawa wafanyabiashara wanafanyaje?
Wanajua nini ambacho wewe hujui?
Sikiliza, kwenye hii video, sitakupa ule ushauri wa kizamani wa "jitume zaidi."
Leo, nitakupa siri saba za MUHIMU ambazo wafanyabiashara waliofanikiwa wanazitumia kutengeneza pesa kila siku.
Nitakupa mbinu zao halisi za kupanga bei, jinsi wanavyopata mzigo wa moto kabla ya wengine na jinsi wanavyowapita washindani wao bila hata wao kujua.
Lazima ukae nami mpaka mwisho, kwa sababu siri ya saba ni hatari sana, itabadilisha mambo yako MARA MOJA
Tan Business Channel ina husika na kutoa elimu ya ujasiriamali kwa vijana. Tunatoa elimu ya jinsi ya kuanzisha na kuendeleza biashara. Tunafundisha misingi sahihi ya kuanzisha biashara.
Tuna eleza jinsi ya kutambua fursa za kuanzisha biashara. Pia tunafundisha umuhimu wa kuchangua makundi ya wateja.
Tuna sisitiza umuhimu wa kuwasiliana na wateja mara kwa mara kufahamu changamoto zao na mhitaji yao. Tunafundisha umuhimu wa kutengeneza hesabu za biashara.
Hesabu za biashara husaidia kufahamu, kama biashara inapata faida au hasara. Kuhusu kuendeleza biashara tunafundisha umuhimu wa kutengeneza plan na kuwa na mifumo mizuri ya kuendesha biashara
Tan Business Channel inatoa elimu ya ujasiriamali kupitia vitabu, videos, website, Online School na Online Television
1. Kupata eBooks za Ujasiriamali, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab...
3. Website yetu: www.tanbusiness.co.tz
4. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
YouTube: / alimwambola
#jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwambola #tuongeebiashara #ujifunzeujasiriamali #biasharayanguo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: