ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

NENO LA SIKU | Marko 13 | Maombi Ya Kushinda Wanaokuchukia | Isaac Javan

Автор: Neno La Siku

Загружено: 2024-04-22

Просмотров: 5754

Описание: Leo tunasoma kitabu cha Marko sura ya kumi na tatu, na tunaenda kufanya maombi ya kushinda wanaokuchukia. Katika maisha ya hapa duniani huwezi kupendwa na kila mtu. Wapo watakaokuchukia bila sababu. Na hili ni jambo baya kwa sababu, shetani anaweza kuwatumia watu wanaokuchukia ili kukuumiza.

Watu wengi wanaishi kwenye maisha ya mateso kwa sababu ya chuki. Watu wengi wameumizwa kwa sababu ya chuki. Lakini Mungu ni mwaminifu na anaenda kufanya njia kwa ajili yako. Ukisoma kwenye maandiko unamuona mfalme Daudi akichukiwa na adui zake, ambao walitaka kumuua. Lakini Mungu aliingilia kati na akamuokoa kutoka kwenye mikono ya wamchukiao.

Mungu anaenda kufanya hivyo na kwako pia. Mahali popote ambapo shetani anatumia chuki kukuharibia maisha yako, Mungu anaenda kukupigania na kukushindia siku ya leo. Nakuombea ushindi mkuu kupitia maombi ya leo. Mkono wa BWANA ukupiganie na kukushindia na kukuweka salama. Damu ya YESU ikufunike na kukulinda, Amen!

Isaac Javan
+255 745 76 45 72

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
NENO LA SIKU | Marko 13 | Maombi Ya Kushinda Wanaokuchukia | Isaac Javan

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

NENO LA SIKU | Marko 14 | Maombi Ya Kushinda Uzito Wa Kuomba | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Marko 14 | Maombi Ya Kushinda Uzito Wa Kuomba | Isaac Javan

EPUKA MAKOSA YA UTOAJI SADAKA | Isaac Javan

EPUKA MAKOSA YA UTOAJI SADAKA | Isaac Javan

HABARI KUBWA JIONI HII LEO JUMANNE..

HABARI KUBWA JIONI HII LEO JUMANNE..

BWANA YESU Niponye | Isaac Javan

BWANA YESU Niponye | Isaac Javan

Kitabu cha Zaburi – Full Book of Psalms in Swahili | Prayer, Healing & Comfort

Kitabu cha Zaburi – Full Book of Psalms in Swahili | Prayer, Healing & Comfort

🔴#LIVE:SHEIKH KISHKI ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU/KESI YA LISSU YAIBUA MAPYA/

🔴#LIVE:SHEIKH KISHKI ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU/KESI YA LISSU YAIBUA MAPYA/

 🔥 СБОРНИК ХРИСТИАНСКИХ ПЕСЕН 🔥 1 Час Глубокой Молитвы

🔥 СБОРНИК ХРИСТИАНСКИХ ПЕСЕН 🔥 1 Час Глубокой Молитвы

HUDUMA YA MALAIKA || PASTOR GEORGE MUKABWA || 21/04/2024

HUDUMA YA MALAIKA || PASTOR GEORGE MUKABWA || 21/04/2024

NENO LA SIKU | Luka 12 | Maombi Ya Toba Kwa Dhambi Za Siri | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Luka 12 | Maombi Ya Toba Kwa Dhambi Za Siri | Isaac Javan

Pilne wystąpienie Putina do służb / Policja zaatakowana / Eksplozja w Moskwie

Pilne wystąpienie Putina do służb / Policja zaatakowana / Eksplozja w Moskwie

NENO LA SIKU | Matendo 16 | Maombi Ya Kushinda Vita Ya Usiku Wa Manane | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Matendo 16 | Maombi Ya Kushinda Vita Ya Usiku Wa Manane | Isaac Javan

MASWALI NA MAJIBU | Isaac Javan

MASWALI NA MAJIBU | Isaac Javan

Zajączkowska-Hernik Ostro o Czarzastym, Trump Znów o Wojnie z Iranem, Zamach Bombowy w Moskwie

Zajączkowska-Hernik Ostro o Czarzastym, Trump Znów o Wojnie z Iranem, Zamach Bombowy w Moskwie

Известные христианские песни🎶 10 песен

Известные христианские песни🎶 10 песен

NENO LA SIKU | Marko 12 | Maombi Ya Kushinda Roho Inayozuia Ushindi Wako | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Marko 12 | Maombi Ya Kushinda Roho Inayozuia Ushindi Wako | Isaac Javan

Coś przerażającego czeka 2 miliony Rosjan... Armia Putina się rozpada

Coś przerażającego czeka 2 miliony Rosjan... Armia Putina się rozpada

Предательство.

Предательство.

5. MBINU ZA KUSHINDA VITA VINAVYOKUJA VYA KIFIKRA KATIKA MIFUMO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:  MBEYA

5. MBINU ZA KUSHINDA VITA VINAVYOKUJA VYA KIFIKRA KATIKA MIFUMO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: MBEYA

ALIYEZALIWA NA MUNGU HATENDI DHAMBI? Pr Mrombo

ALIYEZALIWA NA MUNGU HATENDI DHAMBI? Pr Mrombo

MAOMBI YA KUSHINDA ROHO ZA MAGONJWA

MAOMBI YA KUSHINDA ROHO ZA MAGONJWA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]