VILIO! KITONGOJI CHA RAZABA CHAFUTWA, Wakazi hawana pa KUISHI wala KUPIGIA KURA!
Автор: Global TV Online
Загружено: 2019-10-27
Просмотров: 2005
Описание:
VILIO! KITONGOJI CHA RAZABA CHAFUTWA, Wakazi hawana pa KUISHI wala KUPIGIA KURA!
WAKAZI wa Kitongoji Cha Razaba Wilayani Bagamoyo Wameelezea masikitiko yao juu ya kufutwa kwa kitongoji hicho na uongozi wa serikali ya Wilaya jambo linalodaiwa kuwanyima haki ya kujiandikisha na kupiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 24 mwaka huu.
Global TV Online ilifanikiwa kuzungumza na baadhi ya wawakilishi wa wananchi na viongozi wa ngazi za kijiji ambao walielezea masikitiko yao na kumwomba Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kuingilia kati ili kuwanusuru na janga la kukosa makazi linalowakabili.
Aidha Global TV Online imezungumza na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Bi. Zainabu Kawawa ambaye amefunguka haya....
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
---------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:https://www.youtube.com/playlist?list...
GLOBAL RADIO TV:https://www.youtube.com/playlist?list...
EXCLUSIVE INTERVIEWS:https://www.youtube.com/playlist?li
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: