Kesi ya mgogoro wa ranchi ya Bozi Bagamoyo yaahirishwa
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-08-29
Просмотров: 455
Описание: Kesi ya kikatiba iliyofungiliwa na wananchi wakipinga kuondolewa eneo la Bozi shamba namba 3565/2 Makurunge bila ya kulipwa fidia likidaiwa lipo ndani ya ranchi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lililopo wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani imeahirishwa kwa muda.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: