Uchambuzi: Uchaguzi Tanzania wakumbwa na Maandamano ya Gen-Z | DW Kiswahili
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-10-30
Просмотров: 24017
Описание: Tanzania imejipata kwenye njia panda baada ya uchaguzi mkuu kukumbwa na maandamano. Ghadhabu ya waandamanaji imeshuhudiwa kupitia maandamano ya vurugu na uharibifu wa mali huku watu wawili wakidaiwa kuuawa. Idadi ndogo ya wapiga kura ndiyo imejitokeza kwenye uchaguzi huo ambao Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kushinda. Je, taifa hilo la Afrika Mashariki ambalo hujulikana kuwa tulivu limeteleza wapi kwenye uchaguzi huu? Mjadala wetu studioni unaangazia uchaguzi huo kwa ujumla wake. #dwhabarimotomoto #dwkiswahili #dwswahili #uchaguzitanzania2025 #tanzaniayaamua
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: