Vyombo vya habari Tanzania vilikuwa wapi wakati wa uchaguzi?
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-11-05
Просмотров: 256221
Описание: Tanzania imefanya uchaguzi ambao mpaka sasa mengi yamejitokeza na kuzusha maswali. Mojawapo ni nafasi ya vyombo vya habari. Vilikuwa wapi kuwafahamisha yaliyokuwa yakijiri nchini mwao, vilikuwa wapi kuwaarifu nini cha kufanya katika mazingira yaliyoonekana kuwa ya hatari, vilikuwa wapi kuwapa jukwaa la kusema na kutoa maoni yao? #dwkiswahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: