DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 13.02.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-02-13
Просмотров: 5565
Описание:
Tuliyo nayo asubuhi ya leo
++Ni kuhusu matokeo ya uchaguzi wa Bangladesh uliofanyika hapo jana tangu nchi hiyo iliposhuhudia maandamano makubwa ya vijana wa GenZ yaliyomuondoa madarakani Waziri Mkuu wa muda mrefu Sheikh Hassina.
++ Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Marco Rubio anaongoza ujumbe mkubwa wa Marekani wiki hii kuelekea katika Mkutano Mkuu wa Usalama wa Munich
++ Baada ya kutoa taarifa rasmi kuhusu unyanyasaji na ulaghai wa fedha, Baraza la Magavana wa Kenya limewataja Maseneta wanne ambao wanadai wanawatoza fedha kwa njia ya hongo
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: